Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize.
Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?
Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimu
Mwalimu: (huku ana hasira akauliza)Mbali mbinguni?
Mwanafunzi: Mbinguni kwa mbele😂😂😂😂😂

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
familia-mapenzi-na-mahusiano.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;

afya-mapishi-na-lishe.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png