Amri za chuo

By, Melkisedeck Shine.

Amri za chuo

Ndio hizi sasa

1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.
2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.
3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu.
4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon.
5.Usisapu
6.Usidisko
7.Usitumie mkopo ovyo.
8.Usitaman chuo cha mwenzio
9.Usitamani fakat ya mwenzio
10. Usitaman bumu lake wala chochote alichonacho. hahaha chezea chuo weye!

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


😂 NIMEIPENDA HII👉 Cheki nilichomfanyia huyu dereva taxV.gif

[kitendawili Kwako] 👉Mwenyewe hana uti wa mgongo

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
SALAMU-USIKU-23ND.JPG
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.