Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi

```html

Responding to Pet Names: A Guide to Healthy Relationships

Navigating the landsc... Read More

Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake

Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake

Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata ... Read More
Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukute

Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukute

Matatizo ni nini???

`Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakuban... Read More

Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa

Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa

JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungama
PADRI: Haya
JAMAA: Niliiba kamba
PADRI: Kamba?... Read More

Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar

Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar

Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana... Read More

Utajuaje kama unachoangalia ni filamu ya kibongo!!!!

Utajuaje kama unachoangalia ni filamu ya kibongo!!!!

Angalia hivi

-Mlinzi wa Getini lazima awe chizi
-Mtu yupo kijijini, maisha magumu ana ... Read More

Januari kweli ngumu, soma hii

Januari kweli ngumu, soma hii

Januari kweli kiboko

Hii january sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo, yani u... Read More

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

MKE NA MCHEPUKO.

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakin... Read More

Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti

Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti

MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa kuna mwanam... Read More

Cheka kidogo na wewe hapa

Cheka kidogo na wewe hapa

*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa... Read More

Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao

Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao

Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisien... Read More

Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao

Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
*UCHAWI* ni nini?

`Uchawi ni pale mpenzi wako anapokupeleka kwao ... Read More