Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Updated at: 2024-05-25 15:24:04 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.
Read more
Close
SMS ya kumuomba mpenzi wako asiondoke asikuache
Updated at: 2024-05-25 15:22:43 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakuomba usiondoke, bali ubaki nami Kwani wewe ndiye kamilisho la maisha Yangu kwa sasa na siku za usoni
Read more
Close
SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu
Updated at: 2024-05-25 15:38:00 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu la undani, na NITAKUHESHIMU milele mpenzi wangu.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read more
Close
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza
Updated at: 2024-05-25 15:24:13 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupéndä mpènzi wèwè ùnåumuhimu mkubwa kwenye maisha yangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalo halitapona .nakupenda sana
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Updated at: 2024-05-25 15:36:56 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu. Ni zaidi ya roho iendayo safarini.
Read more
Close
SMS ya kujivunia mpenzi wako
Updated at: 2024-05-25 15:26:01 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma, utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.
Read more
Close
SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:22:28 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
Read more
Close
Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
Updated at: 2024-05-25 15:23:32 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
Read more
Close
Ujumbe kwa umpendaye kumwambia unavyotamani kuwa na yeye
Updated at: 2024-05-25 15:23:06 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi ninavyotamani kuwa nawe sasa.
Read more
Close
Meseji ya kumuomba mpenzi wako aje kwako
Updated at: 2024-05-25 15:21:57 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.
Read more
Close