SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Updated at: 2024-05-25 15:25:59 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
Read more
Close
Ujumbe mtamu wa mapenzi
Updated at: 2024-05-25 15:36:43 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa akupendae kwa dhati. Nakupenda mpenzi wangu.
Read more
Close
Meseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake
Updated at: 2024-05-25 15:22:31 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.
Read more
Close
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Updated at: 2024-05-25 15:36:59 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nafsi yangu inafurahia ya kwamba wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu tabasamu usoni mwangu ndio siri ya pendo lako kwangu
Read more
Close
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Updated at: 2024-05-25 15:22:47 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!
Read more
Close
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kila unapomtazama
Updated at: 2024-05-25 15:22:51 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo ambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kila ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.
Read more
Close
Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu
Updated at: 2024-05-25 15:26:25 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
Read more
Close
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Updated at: 2024-05-25 15:25:57 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Read more
Close
SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:36:42 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako, Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako, Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako, Kwa sababu NAKUPENDA sana
Read more
Close
Ujumbe wa kutuma kwa mpenzi wako ajione mwenye thamani kubwa
Updated at: 2024-05-25 15:26:49 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wewe ni mng’arao machoni mwangu; Tabasamu la midomo yangu; Furaha ya uso wangu; Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.
Read more
Close