SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
Updated at: 2024-05-25 15:26:50 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe. Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako, nimeambiwa ili nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk. Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?
Updated at: 2024-05-25 15:36:30 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA
Updated at: 2024-05-25 15:27:13 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema