Updated at: 2024-05-25 15:26:09 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
Ujumbe wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi wako kuwa haupo tayari kumpenda mwingine kwani unampenda yeye tuu
Updated at: 2024-05-25 15:24:57 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake
Updated at: 2024-05-25 15:23:13 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"