Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
โ˜ฐ
AckyShine

Ulevi noma! Angalia huyu mlevi alichomfanyia huyu jamaa usiku! Ungekua wewe ungefanyaje?

Featured Image
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi kwenda kufungua mlango Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoni kwao JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi?
238 Comments

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika

Featured Image
236 Comments

Wasichana wafupi wanafurahisha

Featured Image
238 Comments

Njia nne za kufikisha Habari kwa haraka

Featured Image
236 Comments

Hapa itakuaje?

Featured Image
237 Comments

Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi

Featured Image
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
237 Comments

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

Featured Image

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?

236 Comments

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!!

Featured Image
236 Comments

Muda mzuri wa kulipa mahari

Featured Image
236 Comments

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Featured Image
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
236 Comments