Unakumbuka hizi enzi za utoto?
Updated at: 2024-05-25 18:09:05 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika
1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : π£Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule
2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: π£ we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama
3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: π£ Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
ππππππ
Huu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi
Updated at: 2024-05-25 17:54:22 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI
jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " *kiazi wangu mbatata*"hiyo itakuwa vita ya tatu ya duniaππ