Updated at: 2024-05-25 17:45:54 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
High school Flashback!! . Watchman : Amkeni muende morning preps. Allan : Mimi ni mgonjwa. Watchman : Unaumwa na nini hiyo? Allan : Bionomial Nomenclature. Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni mbaya. Imeuwa watu South Africa. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 17:05:33 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako." Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2 Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu! Haya nenda Ulevi sio mzuri ๐๐๐๐
Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Updated at: 2024-05-25 17:16:20 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuuโฆ.. Interviewer: where were u born? Guy: Tanzania Interviewer: okay which part? Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania.. ๐๐๐ Cpendagi ujinga mim
Updated at: 2023-04-29 22:52:30 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
STORY ZA WASICHANA KTK SIM
Maryโฆ Hallow mpenzii Lilyโฆ. Niambie my dear Mary..Pouwaa za siku jamani LilyโฆNzuri rafiki Yangu wa damu MaryโฆJioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine wanguu LilyโฆNakusubiri kwa hamuu mpenziiii
BAADA YA KUKATA SIMUโฆKILA MMOJA ANAWAZA
LilyโฆHuyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti. Mary..Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende!!!
STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU
JohnโฆNiaje we mbwaa SamโฆPouwa kichaa wanguu John..Upo wap mpumbavu wewe SamโฆNiko hom, we fala Uko wap? John..Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata Sawaโฆ Pouwaa we ms**nge nakusubiri
BAADA YA KUKATA SIMUโฆKILA MMOJA ANAWAZA
JohnโฆDah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time SamโฆJohn bwana akiwa Na pesa lazima anitafute mwanaeee.
FUNZO..
Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA WAVULANA unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lkn WANAPENDANA..
Mpe TANO mchizi wako kudumisha upendo wetu wavulanaโฆ High ๐๐๐๐๐ boys
Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
Updated at: 2023-04-29 22:53:28 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga. MWAL: Safi sana Rose. Utakua utakua mfano kwa wasichana wenzio kuwa na bidii kwenye masomo ya sayansi. MWAL: Na wewe Nehemiah ?? Nehemiah : mimi nataka kuwa tajiri mkubwa sana. Niwe na nyumba Tanzania, S.Africa, Marekani na Dubai. Niwe na gari 7 za kutembelea. Kila siku nabadilisha. Leo nikipanda hii, siirudii hadi week iishe. Nataka niwe namiliki viwanda, Makampuni, ndege binafsi na mashamba makubwa. Nataka niwe na nguvu serikalini ya kuamua nani awe Rais na nani asiweโฆโฆ" Akameza mate kisha akaendeleaโฆ. "Nataka kuwa na walinzi 20 wenye silaha nzito wakinizunguka, na watumishi wakininyenyekea. Nataka kuwa bilionea ninayeogopwa. Lakini pia nataka kuwa na mke mzuuuri sana ambaye nitakuwa natembea nae kila mahali." MWAL: ndoto nzuri sn lakini unahitaji bidii sana kutimiza. Haya na wewe Jenny tueleze unataka kuwa nani?? JENNY: Nataka kuwa mke wa Nehemiah .!!
Updated at: 2024-05-25 17:59:59 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la โฆ."
Updated at: 2024-05-25 17:59:16 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufu ya kwenye daladala.
1.Yatima hadeki 2.Utamu wa chips mimba 3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni 4. Usiyempenda kaja 5. Kobe hapimwi joto 6. Acha kazi uone kaz kupata kaz 7. Ukichezea koki utalowa 8. Heshima pesa kipara kovu tu! 9. Mtumbwi hauna saitmira. 9. Silaha pesa bastola mzigo 10. Hata uoge mjini huendi 11. Chezea mshahara usichezee kazi. 12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa 13. Ikisimama Panda 14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe 15. Njia ya chooni haioti nyasi 16. Likizo ya maskini ugonjwa 17. When i grow up i want to be a scania 18. Hata bibi alikuwa binti 19. Kisigino hakikai mbele 20. Kama mapenz pesa kaolewe na benki 21. Hata barabara ina matuta lakin huwez panda viazi 22. Mavi hayana miba lakin ukikanyaga lazma uchechemee 23. Paka haishi kwa msela 24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa 25. NIPO NIPO KWANZA 26. Mchana nzi ucku mbu 27. Ucmshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake 28. Kama umelipenda(gari) bonyeza nyota liwe lako 29. Supermarket hawauzi mkaa 30. We nisubiri mi nakungoja. 31. Zetu dagaa kuku tamaa 32. Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea askari bunduki H ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐