Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo

Featured Image
236 Comments

Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba

Featured Image
237 Comments

Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?

Featured Image
237 Comments

Haya ndiyo madhara ya kulala kanisani

Featured Image
238 Comments

Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Featured Image
236 Comments

Hili nalo neno kwa wavulana

Featured Image
236 Comments

Cheki huyu dingi alivyo mnoko

Featured Image
236 Comments

Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya

Featured Image
Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja. Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake alimuona mtanashati na mdada mmoja mrembo anakuja ofisini kwake akajua ni mteja anamletea kesi. Ndipo akanyanyua mkoni wa wa simu ya TTCL na kuanza kuongea huku anajizunguusha kwenye kiti cha kuzunguuka.
240 Comments

Mme amemfuma fundi wa kitanda na mke wake, cheki walichokua wanafanya

Featured Image

Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18

239 Comments

Cheki nilichomfanyia boss wangu

Featured Image
236 Comments