Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana

Featured Image
MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!? MLEVI; "Ndio. MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!? MLEVI; "Nakunywa bia tano!
236 Comments

Darasa lolote lile halikosi watu kama hawa

Featured Image
236 Comments

Nilichokifanya leo

Featured Image
236 Comments

Raha ya kuoa kijijini

Featured Image
237 Comments

Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss

Featured Image
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week (Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
237 Comments

Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Featured Image
236 Comments

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Featured Image
236 Comments

Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa

Featured Image
238 Comments

Utani wa wahindi, cheka kidogo

Featured Image
236 Comments

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Featured Image
Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo. Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal: Jamaa: dada mi nakupenda saana Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
236 Comments