Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
โ˜ฐ
AckyShine

Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani

Featured Image
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? . MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโ€ฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
238 Comments

Angalia alichokifanya huyu sharobaro kanisani

Featured Image
Huu usharobaro mwingine uchizi. Jamaa kamzimia demu kanisani,
236 Comments

Kama simu yako ina wifi

Featured Image
236 Comments

Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya

Featured Image
236 Comments

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Featured Image
236 Comments

Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti

Featured Image
236 Comments

Huyu mama mkwe kazidi sasa

Featured Image
236 Comments

Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake

Featured Image
238 Comments

Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss

Featured Image
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week (Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
237 Comments

Padri Akimbia wakati wa kuungamisha, chanzo ni hiki

Featured Image
Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisani peke yake. Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wa pili, akafanya ishara ya msalaba kisha akaanza kuungama {confess} "Padri nimekuja kuungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana." Padri, "Endeleaโ€ฆ"
236 Comments