Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

Huyu jamaa bonge la bwege, ungekua wewe ndiyo rafiki ake ungemwambiaje?

Featured Image
RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana ananificha, mi naita huu ni usaliti wa ndoa.
238 Comments

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Featured Image
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba
236 Comments

Utani wa wahindi, cheka kidogo

Featured Image
236 Comments

Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake

Featured Image

Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:

MUME - mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.

 

237 Comments

Mvua zazua kasheshe! Soma hii..

Featured Image
242 Comments

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Featured Image
237 Comments

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua

Featured Image
236 Comments

Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake

Featured Image
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha! MKE; Vipi leo mbona mpole? MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa. MKE; Ilikuaje wewe ukapona?
237 Comments

Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?

Featured Image
238 Comments

Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi

No Image
0 Comments