Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao
Updated at: 2024-05-25 16:52:39 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
πππππ *UCHAWI* ni nini?
`Uchawi ni pale mpenzi wako anapokupeleka kwao kufika tyu ghafla unakutana na dada yake getini ambaye alikuwa ni mpenzi wako wa zamani, ile kuingia ndani unamuona kaka yake ambaye mlipigana baada ya kukufumania na mke wake, hujakaa vizuri unamuona mama yake ambaye ndiye jimama shangingi lako anayekuweka mjini akupaye jeuri ya kutamba ambapo hata gari unalolitumia alikupa yeye na hataki upajue anapoishi, wakati unataka kuondoka unakutana uso kwa uso na baba yake ambaye alikuwaga wakili wako kwenye kesi ya ubakaji`
Kilichotokea baada ya bibi na babu kukumbukia mahaba ya ujanani
Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku, aliporudi nyumbani akamuuliza mkewe kwa hasira; sasa tumepanga nin halafu haujatokea ?
Updated at: 2024-05-25 18:02:46 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku, aliporudi nyumbani akamuuliza mkewe kwa hasira; sasa tumepanga nin halafu haujatokea ?
Mke; leo mama alinikataza nictoke nyumbani usiku nijisomee ! Babu hoiiβ¦
Updated at: 2024-05-25 17:04:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA? Cheki hii hapaβ¦β¦..
"Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu. Diobeeni dipone ππππππππ Hapana Chezea Bafua
Updated at: 2024-05-25 18:09:12 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Misemo ya kina dada
walianza na halohalooo! Wakaja unalo babu weee! Ikafuata utajijuuu! Ikafupishwa utajiJJ! Mara ghafla kantangazeee! Haikukaa sana kansajiriii! Ikatoka nyingine nishiiiiida!