Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Featured Image
Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
236 Comments

Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana

Featured Image
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambai: MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngozi Okafor
237 Comments

Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?

Featured Image
236 Comments

Mshahara usiobadilika

Featured Image
237 Comments

Mcheki Chizi na daktari

Featured Image
236 Comments

Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Featured Image
236 Comments

Huyu mke ni shida!

Featured Image
237 Comments

MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA

Featured Image
239 Comments

Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari

Featured Image
Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite? Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
236 Comments

Alichojibu dalali baada ya kufumwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya kupanga

Featured Image
Dalali aliwatafutia jamaa chumba Buguruni karibu na reli, nyumba nzuri sana. Jamaa na mkewe wakahamia kwa furaha, lakini furaha yao iliisha walipokuja gudundua nyumba ile iko karibu mno na reli treni ikipita mpaka kitanda kinacheza. Siku hiyo dalali akapita mke akamwita na kumwambia tatizo wakati treni inapita, wakaanza kubishana, yule mama akamwambia dalali kwa kuwa kuna treni itapita sasa hivi… njoo ndani uone mwenyewe.
237 Comments