Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
AckyShine

MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA

Featured Image
239 Comments

Alichojibu dalali baada ya kufumwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya kupanga

Featured Image
Dalali aliwatafutia jamaa chumba Buguruni karibu na reli, nyumba nzuri sana. Jamaa na mkewe wakahamia kwa furaha, lakini furaha yao iliisha walipokuja gudundua nyumba ile iko karibu mno na reli treni ikipita mpaka kitanda kinacheza. Siku hiyo dalali akapita mke akamwita na kumwambia tatizo wakati treni inapita, wakaanza kubishana, yule mama akamwambia dalali kwa kuwa kuna treni itapita sasa hivi… njoo ndani uone mwenyewe.
237 Comments

Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya

Featured Image
Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!? Mama: Hapana mwanangu sijakuona.
236 Comments

Kilichotokea baada ya mzungu na mbongo kukaa siti moja, bongo wasanii wengi

Featured Image
Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=. Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia? Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.
237 Comments

Kwa Wadada wanaotaka kuolewa

Featured Image
236 Comments

Huyu mwanafunzi kweli kiboko

Featured Image
240 Comments

Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake

Featured Image

Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:

MUME - mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.

 

237 Comments

Kilichompata huyu jammaa baada ya simu yake kuita msikitini

Featured Image
237 Comments

Huyu jamaa kawaweza polisi watatu, cheki alichowaambia

Featured Image
Polisi::: hodi, hodi Jamaa::: kimya Polisi::: hodi, hodi Jamaa::: we nani kwani? Polisi::: sisi polisi Jamaa::: mnataka nini?
237 Comments

Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Featured Image
236 Comments