WAHENGA-KWA-VITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu 👧 girlfriend wake

Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.

Girlfriend akamuuliza jamaa “beby vipi mbona uko hapa?” Jamaa bila woga akajibu “NIPO FIELD.

Wanaume hatupendi ujinga sisi 😠😠😠

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu

HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. 😂😂

😂😂 😂 😂😂


V.gif Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?

Dogo: Bro naomba nitumie hela.

Bro: Tumia tu mpaka uchoke.

Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.

Bro: We ndo hunielewi, nimesema tumia tu…!!!

😂😂 😂 😂😂


Uharamia ndio unaanzia kama huku

ubabe-utoton.jpg

Urafiki wa mashaka ndio huu wa namna hii

IMG-20160412-WA0001.jpg

Haya majibu ya huyu mwanaume ni shida, angalia huyu alichomjibu huyu dada baada ya kuombwa lunch

IMG-20160404-WA0037.jpg

Huyu jamaa hapa ndo imeshakula kwake

Only-in-Africa-9-520x351.jpg

Angalia huyu bodaboda anachomuwazia huyu abiria wake na abiria wake anachomuwazia bodaboda

bodaboda-na-abiria.jpg

Mambo yanayoweza kukupata ukubwani kama ulivuka steji ukiwa mtoto

mtu-mzima-na-gari.jpg

.

page 1 of 31238123...3123731238next »

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-WA-ZA-JIONI-KWA-NDUGU.JPG
Marafiki-wa-enzi.GIF

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.