VITUKO-WAHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Unakumbuka haya enzi za shule?

Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na haya…

1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani
2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio
3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumban
4.MTU akikukera unamfungia shule (mnapigana baada ya kufunga shule)
5.MTU akikunyima kitu chake unamwambia "Ahaa eeh utaona sa nne"
6.wadada wembamba ndo wanaongoza kwa kusuta wenzao
7.ukiibiwa daftar jipya unalia kuliko hata uliloandika
8.unajaza mapeni kwenye mkebe(compass) na mengine hayaandiki
9.vifaa vingine kwenye mkebe hujawahi hata kuvitumia mfano bikari labda utolee mwiba😂
10.hakuna habari nzur kama kuambiwa Leo hamna shule mwalim haupo
11.habari mbaya zaidi n kurud nyumban kutoka shule una njaa af unaambiwa chakula mgeni kaja tumempa
12.mtoto wa mwalim utamgundua tu kwanzia sweta begi na viatu vyake
13.usiombee umpige mtoto wa mwalim utataman uache shule
14.unatengeneza kifutio cha ndala af unatishia eti kinafuta hadi peni😂
15.ukaguzi na huna ufagio.. unaomba chelewa kwa watu af unaongeza kijiti katikati
16.siku ukienda na ufagio wanakagua maji, ukienda na naji wanakagua kuni au mbolea😆
😂
Dah shule zetu hizi kiboko!!

Ipi umeipitia wewe
Share na wengine

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kwa namna hii wizi utaisha?

Kwa namna hii wizi utaisha?

😂😂 😂 😂😂


V.gif Mshahara usiobadilika

PAMOJA NA HALI NGUMU YA UCHUMI NCHINI HUWEZI AMINI MSHAHARA WA DHAMBI HAUJABADILIKA HATA KIDOGO…BADO NI MAUTI VILEVILE😊😊😊😊

😂😂 😂 😂😂


Mume anataka kuoa mke wa pili, cheki mke wake alichomwambia

IMG-20160320-WA0003.jpg

Huyu mama ni shida, japokua amemfumania housegirl na mume wake lakini hataki kumfukuza! soma

IMG-20160318-WA0006.jpg

KICHEKESHO: Angalia hawa watoto wanachoambiana

IMG-20161023-WA0054.jpg

Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Huyu jamaa hapa ndo imeshakula kwake

Only-in-Africa-9-520x351.jpg

Huyu jamaa ataelewa? anafundishwa kuhusu upendo

IMG-20160124-WA0035.jpg

.

page 1 of 28291123...2829028291next »

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-KUOMNBA-KUKUTANA-NA-NDUGU.JPG
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.