VITUKO-VYA-WAKAKA-NA-WADADA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia huyu msichana alichonifanyia

Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- "Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3."
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGINE

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake

Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:

MUME - mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.

MKE - nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Cheki huyu dingi alivyo mnoko

Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.

Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Jamani kwani kupiga mswaki ni lazima? Cheki kilichompata huyu dogo baada ya kugoma kuswaki

IMG-20151116-WA0027.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

KICHEKESHO: Angalia hawa watoto wanachoambiana

IMG-20161023-WA0054.jpg

Umeshawahi kuona hili

IMG-20160510-WA0000.jpg

Ajabu la 8 la dunia, Dunia hii ina mambo sana jamani

IMG-20151217-WA0005.jpg

Hili ni la kweli kuhusu ndoa ya adamu na eva? wewe unasemaje?

IMG-20160419-WA0020.jpg

.

page 1 of 38025123...3802438025next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Kichekesho cha babuV.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
tafuta-rafiki.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.