VITUKO-VYA-MSIMU-HUU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheki kilichotokea baada ya kufumaniwa

Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku!

WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe

Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa
kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki;
MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za
kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa
mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu
atakubariki zaidi

PEDESHE: Samahani Mchungaji haitakuwa vizuri
mimi kuchangia kanisa, fedha zangu ni haramu,
huwa nazipata kwa utapeli na kuuza madawa ya
kulevya.
MCHUNGAJI: Yote ni heri, pesa yako tutatumia
kwa kujenga eneo la choo we toa tu!!!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake

WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?

HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card inamaanisha mchezaji awache kucheza na atoke inje ya uwanja.
WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light! Yellow- Ilani na Red - Simama
HUSBAND: Yeah yeah swity! Ndio hivyo.
WIFE: Na je Green Card??
HUSBAND: Aaaah! Hakuna kitu kama hicho.

WIFE: Nataka Arsenal ishinde world cup.
HUSBAND: [kimya]
WIFE: Ni nani yule mzee anakaa kama Mr. Bean??
HUSBAND: Yeees swity, yule ni kocha wa Arsenal, anaitwa Arsene Wenger.
WIFE: Oooooh! inamaanisha yule kocha mwengine ni Chelsea Wenger??
HUSBAND: [Kabadilisha channel]

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Pale unapozuia kuchafua hali ya hewa mbele ya X wako

bana-kujamba.jpg

Pima macho sasa, unaona sura ngapi hapa?

IMG-20160408-WA0053.jpg

Wanaume wa Dar ni shida, duh majanga! wacheki hapa

IMG-20160225-WA0009.jpg

Angalia huyu panya anachofanyiwa baada ya kula hela, Mbele ya hela panya lazima asulubishwe

IMG-20160504-WA0008.jpg

Zuzu kweli mjinga, angalia anachokisema sasa

ZUZU-NA-PUNDA.jpg

La kweli hili kuhusu watu wanaokuuliza kuhusu familia yako?

sio-wote-wanaouliza-watoto-hawajambo.jpg

.

page 1 of 38669123...3866838669next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Ndege ya TanzaniaV.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
UJUMBE-KUOMNBA-KUKUTANA-NA-NDUGU.JPG
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Tafuta Marafiki wote mliopotezana

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.