VITUKO-VYA-MSIMU-HUU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe?

DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.

BABA: Kwanini unasema hivyo?

DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.

ungekua wewe ungemjibu nini

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia nilichomfanya huyu mtoto

Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi 😡😡😡😡😡😡

😂😂 😂 😂😂


V.gif Cheki huyu jamaa alivyoumbuka kwenye harusi

Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yy hakuwa na zawadi. Mlango Wa 3 umeandikwa kulia wanawake kushoto waume akapita kushoto akajikuta ametokea mtaani

😄😄😄😄😄😄😄😄. Tujifunze kutoa wandugu

*hatupendagi ujinga sisi*
🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿

😂😂 😂 😂😂


Duh! Paka wa Dar ni noma..!

paka-wa-dar.png

Ungekua ni wewe ungemfanyaje huyu rafiki ako kama hapa hakuelewi?

IMG-20160414-WA0018.jpg

Angalia make-up zinavyoweza zikaleta utata

matatizo-ya-make-up.jpg

Huyu ndiyo fundi wa admini

fundi-mtoto.jpg

Cheki ndama wa kidigitali

IMG-20160407-WA0030.jpg

Cheki sababu ya huyu jamaa kutokupenda mchezo wa mieleka

IMG-20160507-WA0001.jpg

.

page 1 of 33374123...3337333374next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Chezea kufulia!V.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-POLE-MZAZI.JPG
UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.