VITUKO-VYA-MCHANA-HUU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Huyu jamaa kawaweza polisi watatu, cheki alichowaambia

Polisi::: hodi, hodi
Jamaa::: kimya
Polisi::: hodi, hodi
Jamaa::: we nani kwani?
Polisi::: sisi polisi
Jamaa::: mnataka nini?

Polisi::: kuongea na wewe
Jamaa::: kuongea na mimi?!
Polisi::: ndio
Jamaa::: mko wangapi?
Polisi::: tuko watatu
Jamaa::: kama mko watatu si muongee wenyewe…!!!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena

Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake, mke wa rafiki yake hali nyama;

JAMAA: Aise hili ni bonge ya lanchi hii, lakini Levi mbona sisi tu tunakula nyama shemeji Gulo hagusi kabisa anaishia mchicha tu? Tabia gani hii?
LEVI: Hapana sijamkataza, ila shemeji yako Mngoni halagi nyama ya FISI kama sisi

JAMAA AKAZIMIA HAPOHAPO

😂😂 😂 😂😂


V.gif Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili

TOFAUTI YA UKOPAJI, MZUNGU NA MSWAHILI:

MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday

MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mwezi…?😂😂😂😂😂

😂😂 😂 😂😂


Eti hili ni la kweli kuhusu mapenzi?

fb-3-600x450.jpg

Je hii ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160321-WA0048.jpg

Jamani haya ni mapenzi au ufala?

IMG-20160225-WA0005.jpg

Hivi ugali wa mahindi haya utakuaje? ni shida

IMG-20160321-WA0045.jpg

UJUMBE KWA KINADADA WANAONYONYESHA

IMG-20160322-WA0008.jpg

Kutoana out sio lazima beach! Sehem yoyote patulivu kama walichokifanya hawa

IMG-20151121-WA0003.jpg

.

page 1 of 33557123...3355633557next »

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

tafuta-ndugu.gif
uliyesoma.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.