VITUKO-VYA-KUKUCHANGAMSHA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Tenda Wema Uende Zako

Nimekuta panya ana struggle kuingia chini ya mlango wa jirani yanguโ€ฆ Nikagonga mlango Jirani kafungua panya akapenya mi nkaenda zanguโ€ฆ.. Tenda Wema Uende Zako!!! Sipendi Ujinga mimi kwanini panya wa watu apate shida

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Wazo la Leo

WAZO LA LEO!"Vaa nguo zote upendeze lakini SANDA ndiyo Fasheni ya mwisho!.Tembea kote lakini KABURINI ndiyo matembezi ya mwisho!.Panda Gari, Farasi, Meli, Treni, Ndege, Ngamia, Bajaji na Pikipiki lakini JENEZA ni Gari la mwisho!. Kusanya mali na mizigo mingi ya thamani lakini UDONGO ni Mzigo wako wa mwisho!.Jiite majina yote lakini marehemu ndio jina lako la mwisho. Tubu ndugu yangu wakati ndio huu.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Misemo ya kina dada

Misemo ya kina dada

walianza na halohalooo!
Wakaja unalo babu weee!
Ikafuata utajijuuu!
Ikafupishwa utajiJJ!
Mara ghafla kantangazeee!
Haikukaa sana kansajiriii!
Ikatoka nyingine nishiiiiida!

Unaijua iliyotoka Leo?

Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Hivi wanaume wanakwama wapi katika hili?

wanaume-nakwama-wapi.jpg

Hii ndio maana ya kunenepa wakati unadaiwa

ukinenepa-ni-dharau.jpg

Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Majibu mengine ni tabu kwelikweli, angalia huyu anachojibu

IMG-20160420-WA0008.jpg

Je hii ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160321-WA0048.jpg

Cheki huyu dogo alivyo sharo

1621707_462419413884672_437076927_n.jpg

.

page 1 of 33067123...3306633067next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Hizi swaga za huyu jamaa ni shida, Google!V.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

Slide3-mliopoteana.GIF
UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.