VITUKO-VYA-KUKUBADILISHA-MUDI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali

Mhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:

(a)Nyani haoni…..valisa miwani!

(B)Debe tupu….weka dengu!

(c)Masikini akipata….iko acha iba!

(d)Penye kuku wengi…chinja bili,tatu!

(e)Asiyesikia la mkuuu….peleka yeye polisi!

(f)Penye wengi……iko kutano ya chadema!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili

TOFAUTI YA UKOPAJI, MZUNGU NA MSWAHILI:

MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday

MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mwezi…?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Huu mchezo hautaki makeup

mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huu mchezo hautaki mekapu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Angalia nilivyolikoroga kwa baba mwenye nyumba

vyombo-nje.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Pale unapozuia kuchafua hali ya hewa mbele ya X wako

bana-kujamba.jpg

Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Huyu jamaa hapa ndo imeshakula kwake

Only-in-Africa-9-520x351.jpg

.

page 1 of 38334123...3833338334next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Cheki huyu mzee alichomfanyia muuzaji wa pharmacyV.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
KADI-SALAMU-MCHANA-JION.JPG
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.