VITUKO-VYA-JUMAPILI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi nione maisha yake safi tangu tuachane. Mambo ya kijinga spendi kudadeky nimetoa buku kumi nikanunua mipampers nami nijifanye nimeowa nina mtoto halafu huyoo nikashika njia yangu.

Sasa washkaji zangu tafadhalini mwenye mtoto au shida ya pampers naomba anunue kwangu maana leo nalala tena kiza πŸ™†β€β™‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Nilichokifanya kwa rafiki yangu

Nimekuja kwa Rafiki angu kumtembelea kaacha maji jikon yeye kaenda kununua unga. Huku mm nikaongeza maji pale jikon. Kumbe yy aliweka maji saiz ya unga wake peke yke… Sasa hiv TUNAKUNYWA UJI hata hatuongeleshani. Kimbelembele changu kimeniponza.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Biashara ambayo imefeli

*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe
*STUDENT*: Changudoa akipata mimba…
*TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_
πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Hii ndio inaitwa midadi, Wenge limemzidi huyu jamaa

IMG-20160503-WA0015.jpg

Huyu mwalimu hapa kazidi, wanafunzi wataelewa kitu kweli

mlegezo.jpg

Ajabu la 8 la dunia, Dunia hii ina mambo sana jamani

IMG-20151217-WA0005.jpg

Duu! Huyu jamaa ni nima, anapakiza ng'ombe kwenye pikipiki

225770_365399743580088_793473277_n.jpg

Unakumbuka enzi hizi za shule ya msingi?

IMG-20160502-WA0048.jpg

Nyoka wa ajabu mwenye vichwa viwili

IMG-20160411-WA0009.jpg

.

page 1 of 38374123...3837338374next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Muda ambao unaweza kumzoea dingiV.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

picha-kali.png
kj.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.