VITUKO-VYA-JUMAPILI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Utani kwa wadada wembamba

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii ………mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii

🀣🀣🀣🀣

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Mchaga aliyemshangaza Mungu

Mchungaji anawaambia waumini: Fanya jambo moja la kumshangaza Mungu… Dakika mbili nyingi Mchaga akakimbia na kapu la sadaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Alichofanya mke baada ya mme wake kupenda kumchunga sana

Alifanya hivi;
Siku ya kwanza

MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikie…..mkeΒ­ akawasha blender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja

Siku ya pili
MUME: Vipi mko salama huko?
MKE: Tupo kama ulivyotuacha
MUME: kwani uko wapi?
MKE: Niko nyumbani napika
MUME: Washa brender kama kweli uko nyumbani
Mke akawasha blender
MKE: Umesikia?
MUME: Poa ntarudi baada ya masaa mawili

Siku sita baadae mume akaamua kurudi bila kumtaarifu mkewe alipofika home kamkuta mdada wa kazi yuko peke yake.
MUME: We mama yako yuko wapi?
MDADA: Sijui ameondoka na blender toka asubuhi

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


UJUMBE KWA KINADADA WANAONYONYESHA

IMG-20160322-WA0008.jpg

Cheki sababu ya huyu jamaa kutokupenda mchezo wa mieleka

IMG-20160507-WA0001.jpg

Huyu kazidi! Cheki huu mgongo sasa

1620885_468318843294729_832708695_n.jpg

Angalia anachokifanya huyu nyani baada ya kupewa bunduki

IMG-20160420-WA0000.jpg

Cheki huyu! Kweli mwanzo mgumu

IMG-20150414-WA0001.jpg

Ulishawahi kuona viatu vinashonwa na compyuta? hawa jamaa bwana

IMG-20160406-WA0015.jpg

.

page 1 of 38202123...3820138202next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Tofauti kati ya mwanamke na mwanammeV.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.