VITUKO-VYA-JUMAMOSI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"

Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti."
Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!"

Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?

oya people hv kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndo anaitwa sister in law? au

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Duh! Huyu mume ni shida, ukiwa na mwanaume kama huyu andika maumivu

IMG-20160422-WA0011.jpg

Jambo la muhimu kufanya mwaname anapokwambia anakupenda

cha-kuuliza-unapoambiwa-unapendwa.jpg

Mambo yanayoweza kukupata ukubwani kama ulivuka steji ukiwa mtoto

mtu-mzima-na-gari.jpg

Nyoka wa ajabu mwenye vichwa viwili

IMG-20160411-WA0009.jpg

Wafungwa wengine wahuni, cheki walichomfanyia huyu afande

wafungwa-wahuni.jpg

Cheki huyu mwanafunzi anachojibu, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

aina-za-misimu.jpg

.

page 1 of 38165123...3816438165next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Angalia anachokisema Madenge sasaV.gif
vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
Slide3-mabestimliopotezana.PNG
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Jarida la kilimo bora cha kabichi

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.