VITUKO-VYA-JUMA-HILI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa

Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.

Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.

Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako

Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.

kanisa zima hoi,

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU…

1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!!

2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie.

3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka.

4. Kutapika ndani ndani ya Daladala fain 250/= ,ukijamba pia 250/= ,Sasa jamba tukujue viti vina alarm!…

5.Hatujasema wewe ni Mnene ila Ukikalia SITI mbili Lipia….

6. Hio Elfu kumi yako nenda nunua avocado upake makalio alafu uteleze hadi posta ,nauli ya daladala ni 350/=.

7. usifungue dirisha ungetaka upepo ungepanda pikipiki..

8. wewe Dada hebu sogea hukoo, Unaringa nini wakati asubuhi hii umeoga na sabuni ya kuoshea vyombo…

9…………….

10…………….

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Mapenzi ya siku hizi ni kama hivi

Jamaa: I love you sweetie

Binti: I love you too, ila ha2tafanya mapenz had utaponioa

Jamaa: Hilo halina shida, ila usiniombe hela hadi siku ntapokuoa

Binti: Heeeeeee! baby hutaniwi?!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Cheki ndama wa kidigitali

IMG-20160407-WA0030.jpg

Mara paaa! simba huyo, Ungekua wewe ndio huyu jamaa hapa ungefanyaje?

bahati-maya-mwituni-simba.jpg

Kila siku katika mapenzi unalia?

IMG-20160418-WA0015.jpg

Angalia huyu bodaboda anachomuwazia huyu abiria wake na abiria wake anachomuwazia bodaboda

bodaboda-na-abiria.jpg

Ungekua ni wewe hapa ungefanyaje?

IMG-20160319-WA0008.jpg

Hii ndio maana ya kunenepa wakati unadaiwa

ukinenepa-ni-dharau.jpg

.

page 1 of 38566123...3856538566next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Angalia nilichomfanya huyu mtotoV.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.