VITUKO-VYA-JIONI-HII

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni

Fanya hivi

Ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie "NAOMBA CM YAKO NIWASHE TOCHI TAA IMEUNGUA"
atakusaidia kumulika mpaka unamaliza kazi zako zoote๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Jinsi Baba na mtoto wanavyoweza kuwaziana

Duh! Maisha

Ile time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATA

Ni shetani tu anajaribu kucheza na akili zenu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Misemo ya kina dada

Misemo ya kina dada

walianza na halohalooo!
Wakaja unalo babu weee!
Ikafuata utajijuuu!
Ikafupishwa utajiJJ!
Mara ghafla kantangazeee!
Haikukaa sana kansajiriii!
Ikatoka nyingine nishiiiiida!

Unaijua iliyotoka Leo?

Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Duh! Paka wa Dar ni noma..!

paka-wa-dar.png

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

Haka kaugonjwa ka huyu jamaa kwenye simu ni noma, mwangalie anachofanya

IMG-20160419-WA0019.jpg

Kama una mpenzi zaidi ya mmoja soma hapa

IMG-20160124-WA0033.jpg

Ulishawahi kuona kompyuta ya kienyeji? hii hapa sasa

IMG-20160321-WA0049.jpg

.

page 1 of 38306123...3830538306next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita falaV.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
tafuta-ndugu.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.