VITUKO-VYA-IJUMAA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.

Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali",

Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emen…

MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko.
MUME: Emen…

MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe.
MUME: Kimya…

MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana.
MUME: …….!!

MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe.

Chezea mawaifu walokole wewe!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Kwa Wadada wanaotaka kuolewa

Neno kwenu

Kwa Wale wadada mnaotaka kuolewa…Chagueni wanaume wenye PESA.infact, hakuna mwanaume MWAMINIFU..Lakin ni heri uyatoe MACHOZI mkiwa PARIS, lakin sio TANDALE🌚🐸🌚🐸

Ni utan tuu!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Balaa la mitoto isiyopenda shule

SINA MBAVU NA HIKI KISA;BALAA LA MITOTO ISIYOPENDA SHULE! Baada ya mwiz kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vngi wakati anajiandaa kuondoka ghafla akadakwa mguu na dogo
DOGO: Usipoondoka na begi langu la shule NAPIGA KELELE….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Majibu mengine ni tabu kwelikweli, angalia huyu anachojibu

IMG-20160420-WA0008.jpg

Madhara ya kulala na kuota ndo haya

IMG-20160318-WA0012.jpg

Cheki huyu dogo alivyo sharo

1621707_462419413884672_437076927_n.jpg

Kama una mpenzi zaidi ya mmoja soma hapa

IMG-20160124-WA0033.jpg

Hii ndio hatari ya kuwa na msichana aliyeacha shule

aliyeacha-shula.jpg

Hii hapa raha ya kiswahili

IMG-20160228-WA0007.jpg

.

page 1 of 37823123...3782237823next »

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG
vichekesho-bomba-vya-siku.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Tafuta Marafiki wote mliopotezana

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.