VISA-VYA-WIKIENDI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena

Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!

Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake,
jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?"
MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"
MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!
Mke hoi mzgo umeliwa bure……

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Dunia ina mambo, soma hii

Dunia ina mambo

Kuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.
Diobeeni dipone
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapana Chezea
Bafua

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Angalia alichokisema huyu mlevi baada ya kubatizwa

IMG-20160227-WA0014.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

Huyu jamaa kweli kavurugwa, cheki alichomfanyia huyu bodaboda

boda-boda-noma.jpg

Majibu mengine ni tabu kwelikweli, angalia huyu anachojibu

IMG-20160420-WA0008.jpg

Cheki huyu mwanamke alivyojibiwa na huyu mwanaume

IMG-20160406-WA0008.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

.

page 1 of 38609123...3860838609next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukuteV.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

picha-kali.png
SALAMU-USIKU-23ND.JPG
vichekesho-bomba-vya-siku.png

USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Jinsi ya kupika Biskuti za kokoa

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.