VISA-VYA-WEEKEND

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheka na methali

1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro
2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu
3.Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.
4.Chelewa Chelewa= Ukizikusanya utapata Ufagio.
5.Hakuna Masika= Wakati wa Kiangazi.
6.Mpanda Ngazi= Asiwe Mwoga kuanguka
7.Dua la kuku=
Bismilah rahman rahim
11.Penye wengi= Pana Ajali au Tukio
12.Ukiona vyaelea= Ujue ni vyepesi.
13.Mwenye nguvu= amekula ugal wa dona(…..)

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Cheki tabia za kuandika vimaneno vya ajabuajabu kwenye pikipiki na bodaboda ilivyomponza huyu

Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO, HII NDIO STYLE YANGU" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpaka sasa nimemwacha bado yuko hapo *Sipendagi Ujinga mimi* 🚢🏽🚢🏽🚢🏽🚢🏽🚢🏽

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Utoto bwana!

utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwaoπŸ˜†

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Cha kufanya ukikaa kwenye siti moja na mdada akakutabasamia

UKIKAA-NA-MDADA.jpg

Ulishawahi kuona viatu vinashonwa na compyuta? hawa jamaa bwana

IMG-20160406-WA0015.jpg

Muangalie anachokisema huyu mwanamke, Hii ni kweli?

IMG-20160422-WA0010.jpg

Huyu mtoto akiwa mkubwa atakuaje? kama sasa anawaza bunduki

IMG-20160411-WA0011.jpg

Muangalie anachokisema huyu mwanamke, Hii ni kweli?

IMG-20160422-WA0010.jpg

Je, hili ni la kweli kuhusu kumlinda mpenzi wako?

kumlinda-mpenzi.jpg

.

page 1 of 38615123...3861438615next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Acha usumbufu...V.gif
picha-kali.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
tafuta-rafiki.gif
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.