VISA-VYA-VIJANA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Hii sasa kali kweli kweli!!

MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake…bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.

Kuna jamaa akatoa 500/=.

MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.

MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji.

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Simu ilivyozua utata

Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja unaempigia hapatikan kwa sasa…..

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangi… kiberiti kikawaishia… wakamtuma mwenzao akatafute kingine… bangi lilikuwa limemkolea… akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweni…

MSHIKAJI: oyaaa wanangu eeeh… niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe …..

WENZAKE: baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumemtuma akatafute kiberiti.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Nyoka wa ajabu mwenye vichwa viwili

IMG-20160411-WA0009.jpg

Ungekua ni wewe hapa ungefanyaje?

IMG-20160319-WA0008.jpg

Unakumbuka enzi hizi za utoto?

IMG-20160416-WA0010.jpg

Madhara ya mtoto kulelewa bila baba ndo haya

IMG-20160406-WA0003.jpg

Huyu nyani ka mtu vile

nyani-akisoma-gazeti.jpg

Cheki huyu mwanafunzi anachojibu, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

aina-za-misimu.jpg

.

page 1 of 38135123...3813438135next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?V.gif
picha-kali.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.