VISA-VYA-MSIMU-HUU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake

Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap?

Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo…

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi

Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.

Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Ni wazo tuu!

```Wazo la leo
"Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel`πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸƒπŸƒπŸƒ

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Ajabu la 8 la dunia, Dunia hii ina mambo sana jamani

IMG-20151217-WA0005.jpg

Huyu kazidi! Cheki huu mgongo sasa

1620885_468318843294729_832708695_n.jpg

Jogoo sharobaro ndio huyu, ka mtu vile, kakosa koti tuu

kuku-na-viatu.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Baada ya kulala peke yangu mda mrefu cheki niliyelala naye jana

IMG-20170111-WA0005.jpg

Angalia anachoambiwa huyu mwanamke na mume wake baada ya kuolewa

IMG-20160508-WA0000.jpg

.

page 1 of 38669123...3866838669next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Jee wajua! Maajabu ya whatsapp..V.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
KADI-POLE-MZAZI.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.