VISA-VYA-KATIKATI-YA-WIKI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Maajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?

JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza 'morning' na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ' g9t

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Huyu mtoto kaongea point kweli, angalia anachomwambia baba yake

Mtoto alimwuuliza baba yake,
Mtoto: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl akaliendesha?
Baba: siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe ni ghali sana.
Mtoto: je mnaweza kumwachia chumba chenu house boy/girl kikiwa wazi na mkaenda kazini?
Baba: haiwezekani kamwe kuna vitu vya gharama na pia heshima haitakuwepo.

Mtoto: unaweza ukampa house boy/girl ATM CARD yako na namba ya siri ukakuchulie pesa?

Baba: mtoto unatafuta balaa sasa, unataka siku akiiba hii card akachukue pesa zote tuwe maskini, sithubutu.

Mtoto: aahaaaaaa, kumbe hauwezi kumkabidhi chochote chenye thamani house boy/ girl, sasa kwa nini mnanikabidhi mimi kwa house boy/girl na nyie mnaenda kazini mpaka mnarudi kumbe mimi sina thamani kwenu eeeeh!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Cheki huyu mzee alichomfanyia muuzaji wa pharmacy

Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;

MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Huyu nyani ka mtu vile

nyani-akisoma-gazeti.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

Majibu mengine ni tabu kwelikweli, angalia huyu anachojibu

IMG-20160420-WA0008.jpg

Uharamia ndio unaanzia kama huku

ubabe-utoton.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

Zuzu kweli mjinga, angalia anachokisema sasa

ZUZU-NA-PUNDA.jpg

.

page 1 of 37895123...3789437895next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Duh, hii sasa kaziV.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
UJUMBE-WA-ASUBUHI-KWA-NDUGU.JPG
picha-kali.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Kampeni ya wafanye watabasamu

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.