VISA-VYA-JUMATANO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake

Hili nalo neneo.

ukimuona mbwa๐Ÿถ harusini usimpige mawe wala kumfukuza inawezekana kilichomleta pale ndicho kilichokupeleka na wewe hapo

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?

MUME wakati anakata roho huku mkewe akiwa amemshikilia alisema mke wangu, mi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yako

MKE akamnong'oneza mume wake na kumwambia mbona mimi nayafahamu yote, ndio maana nimekupa sumu ili na wewe ujue uchungu wake. JE NANI ZAIDI?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Duh. mjamzito ana kazi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Cheki huyu dogo alivyo sharo

1621707_462419413884672_437076927_n.jpg

UJUMBE KWA KINADADA WANAONYONYESHA

IMG-20160322-WA0008.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

Angalia nilivyolikoroga kwa baba mwenye nyumba

vyombo-nje.jpg

Eti mapenzi ndo hivi?

IMG-20160314-WA0003.jpg

Wadada mnalijua hil? Angalia hili lisikupate wewe mdada

IMG-20160423-WA0014.jpg

.

page 1 of 38546123...3854538546next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Hakuna siku mbaya maishani kama hiiV.gif
picha-kali.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
Slide1-mabest-skull.PNG
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.