VISA-VYA-JUMAMOSI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu. Mara simu รฝรครฑgรน ikawa inaita. Kucheki namba ngeni. Nikapokea baada ya salamu. Meโ†’nani mwenzangu?? Bossโ†’we hunijui me ?? Meโ†’usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hiv. Sipendagi ujinga.. Kwa sasa nazurura tu mtaani na roba langu La machupa

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Ni wazo tuu!

```Wazo la leo
"Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel`๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Usichokijua kuhusu shamba lako

Je wajua?.. Shamba lako likipatikana na dhahabu ni mali ya serikali..ila likipatikana na bangi ni mali yako

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Ulishawahi kuona kompyuta ya kienyeji? hii hapa sasa

IMG-20160321-WA0049.jpg

Angalia huyu mtoto alichomjibu baba yake, Ungekua wewe ndio huyu baba ungefanyaje?

IMG-20160227-WA0009.jpg

Wadada mnalijua hil? Angalia hili lisikupate wewe mdada

IMG-20160423-WA0014.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Sipati picha kitakachofuata hapa

IMG-20160514-WA0007.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

.

page 1 of 38609123...3860838609next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Tabia za Kimama kwa wanaumeV.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

.

afya-mapishi-na-lishe.png
rafiki.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.