VISA-VYA-JANUARI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheki kilichotokea baada ya kufumaniwa

Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku!

WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Utoto bwana!

utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao๐Ÿ˜†

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Duh! Tamaa mbaya, cheki kilichompata Huyu

HAHAHAHAHAAAAAA DUH TAMAA MBAYA

Muokota makopo katika uokotaji wake wa makopo akaona chupa ambayo ndani kuna ki2, alipoifungua likatoka jitu la ajabu. Huku akitetemeka lile jitu likamwambia kijana asante sana kwa kuniokoa omba vi2 viwili sasa hivi. Kijana kwa hofu akaomba pesa za kumiliki magari na majumba ya kifahari. Ghafla fuko la hela na pete ya bahati vikadondoka. Akaambiwa ombi la pili,akasema nibadilishe niwe kivutio ili nipendwe sana nakina dada Hapohapo akageuzwa akawa chipsi yai.!!๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Haya mahusiano yalivyoishia ni maajabu

IMG-20160406-WA0009.jpg

Unakumbuka enzi hizi za utoto?

IMG-20160416-WA0010.jpg

UJUMBE KWA KINADADA WANAONYONYESHA

IMG-20160322-WA0008.jpg

Ulishawahi kuona viatu vinashonwa na compyuta? hawa jamaa bwana

IMG-20160406-WA0015.jpg

Ungekua ni wewe ungemfanyaje huyu rafiki ako kama hapa hakuelewi?

IMG-20160414-WA0018.jpg

.

page 1 of 38289123...3828838289next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Status za Whatsapp za Wazungu na WabongoV.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Tafuta ndugu mliopoteana hapa

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.