VISA-VYA-DESEMBA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia huyu mtoto anachomjibu baba yake baada ya kutoka kwenye mtihani

BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.
DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.
BABA: kwanini unasema hivyo?.

DOGO: kwasababu jana kanisani tulifundishwa "Yesu ni jibu" kwahiyo kote nimejaza Yesu.
BABA: kwel kazi ipo
JE UNGEKUWA WEWE HUYO NDO MWANAO UNGEMFANYAJE?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Angalia huyu msichana alichonifanyia

Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- "Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3."
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGINE

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Aina mojawapo ya watoto ambao ni hasara kuwa nao

Alipelekwa Hospitali na baba yake, baada ya vipimo Doctor akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na cm.

Mtoto akamwinamia Doctor na kusema kwa sauti ya chini:- "Doctor Kwenye dozi ya dawa niandikie na FANTA BARIDII, CHIPS na MISHIKAKI kutwa mara 2 kwa siku 30.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Ulishawahi kuona kompyuta ya kienyeji? hii hapa sasa

IMG-20160321-WA0049.jpg

Tatizo linalowakabili waendesha bajaji hili hapa, ni shida!

IMG-20160406-WA0006.jpg

Bangi mbaya sana, cheki huyu jamaa anahokifanya sasa

boda-boda-na-mteja.jpg

Muangalie anachokisema huyu mwanamke, Hii ni kweli?

IMG-20160422-WA0010.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Angalia anachokifanya huyu nyani baada ya kupewa bunduki

IMG-20160420-WA0000.jpg

.

page 1 of 38627123...3862638627next »

picha-kali.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
SALAMU-ASUBUHI-987HGZ.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.