VIHOJA-VYA-KUKUPARAHA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Alichofanya maasai baada ya kupanda Tax

Baada ya kupanda daladala aina ya DSM kutoka Mbagala chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500.Masai akachukua tax wakati wa kurudi.walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.

Masai: we dureva? Naulisa Ng'ombe na mbusi ipi ngali?
Dereva: Ni ng'ombe ghali Masai.
Masai: kwanini Ng'ombe ngali?
Dereva: kwa sababu ni mkubwa zaidi ya mbuzi
Masai: umepata..na mbusi na kuku ipi ngali
Dereva: ni mbuzi kwa sababu nae ni mkubwa kuliko kuku.
Masai: Umepata..
Masai: sasa me nimekwenda kule mwenge kwa ngali kubwa nikalitoa sh. 500 hii yko ndogo unasema nikupe 40,000 wewe acha wizi.. Nitakupa 250 Tu..wee acha lbia morani…!!!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Mwizi kawezwa ki kwelii

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚶🏻 na kitu hela mm!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao

Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.

Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,

Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…

Duh… makonda noma…!!

😂😂 😂 😂😂


Kiswahili kweli kigumu, cheki hawa wanafunzi wanavyombwela darasani

maneno-ya-kiswahili.jpg

Vile utakavyokuwa kama utaendelea kufanya mazoezi mpaka uzeeni

kababu.jpg

Huyu mama ni shida, japokua amemfumania housegirl na mume wake lakini hataki kumfukuza! soma

IMG-20160318-WA0006.jpg

Je hii ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160321-WA0048.jpg

Huu wivu wa huyu baba umezidi sasa, angalia anachokifanya sasa

baba-noma.jpg

Hivi wanaume wanakwama wapi katika hili?

wanaume-nakwama-wapi.jpg

.

page 1 of 33557123...3355633557next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Eti wanadamu walikuja vipi dunianiV.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG
UJUMBE-WA-MSAMAHA-KWA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.