VIHOJA-VYA-KISASA

Mpendwa Msomaji, baada ya kufurahia kichekesho kuhusu; Angalia huyu baba alichowafanya mtoto wake wa kike na boyfriend wake, sasa nimekukusanyia vichekesho vingi kwenye makala hii unayoisoma kuhusu;

VIHOJA-VYA-KISASA.

Endelea kefurahia vichekesho kila siku unapotembelea ukurasa huu. Ukitembelea ukurasa huu kila baada ya dakika moja utaweza kusoma vichekesho vipya. Kwa sasa kuna vichekesho 484 kwa ajili yako.

VIHOJA-VYA-KISASA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete

Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu, soni ikamuingia huku akigeuka haraka kuangalia kama kuna yeyote dukani pale ameliskia shuzi lake, macho yakagongana na mwenye duka ambaye alikuwa karibu huku uso ukiwa umejaa tabasamu zito, mwana mama hakuwa na uhakika kama amesikika au hakusikika, akaona atumie nafasi ile kuyeyusha…Akauliza "Hii pete bei gani?" . Jamaa mwenye duka, huku akiangua kicheko, akajibu "Umeiona tu umejamba, je nikikuambia bei yake si utakunya kabisa?"

😂😂 😂 😂😂


V.gif Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wananifurahisha sana…. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx 😁😁😁😁😀

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu

HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. 😂😂

😂😂 😂 😂😂


Ungekua wewe ndo umemfumania dada yako hivi ungefanyaje?

IMG-20160323-WA0009.jpg

Angalia nilivyolikoroga kwa baba mwenye nyumba

vyombo-nje.jpg

Kila siku katika mapenzi unalia?

IMG-20160418-WA0015.jpg

Jamani haya ni mapenzi au ufala?

IMG-20160225-WA0005.jpg

Hii hapa raha ya kiswahili

IMG-20160228-WA0007.jpg

Cheki huyu dogo alivyo sharo

1621707_462419413884672_437076927_n.jpg

Unaweza kusoma vichekesho vipya wakati wowote unapotembelea ukurasa huu kuhusu; VIHOJA-VYA-KISASA, kwenye ukurasa huu vichekesho vinabadilika kila baada ya dakika moja. Ukifunga ukurasa huu na kisha kuufungua tena baada ya dakika utaweza kuona vichekesho vipya.

Pia Unaweza kuendelea kusoma vichekesho hivi;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-MLO-MWEMA-MZAZI.JPG
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG