VIHOJA-VYA-JUMAPILI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa wazi…Sisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisi…

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Haya hapa, mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.

Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo, kama ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili

Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani โ›ช

MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,

Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Namna ambayo unaweza ukawa unawachanganya malaika

MALAIKA-UNAWACHANGANYA.jpg

Cheki ndama wa kidigitali

IMG-20160407-WA0030.jpg

Huyu mama ni shida, japokua amemfumania housegirl na mume wake lakini hataki kumfukuza! soma

IMG-20160318-WA0006.jpg

Angalia alichokisema huyu mlevi baada ya kubatizwa

IMG-20160227-WA0014.jpg

Umeshawahi kuona hili

IMG-20160510-WA0000.jpg

Ujumbe kwa wale wanaojiona masuper ster

IMG-20160506-WA0011.jpg

.

page 1 of 28258123...2825728258next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Tatizo la kukuta nywele kwenye chakulaV.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

rafiki.gif
UJUMBE-WA-ASUBUHI-KWA-NDUGU.JPG

USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Mtafute ndugu yako mliopotezana

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.