Vichekesho

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Mapenzi ya siku hizi ni kama hivi

Jamaa: I love you sweetie

Binti: I love you too, ila ha2tafanya mapenz had utaponioa

Jamaa: Hilo halina shida, ila usiniombe hela hadi siku ntapokuoa

Binti: Heeeeeee! baby hutaniwi?!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya

Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah

Man: Mbona wafurahia?
Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki.
Man: Itakua poa sana nami natamani pia
Demu: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM?
Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar
Demu: nipishe huko

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Dingi kauzu kuliko wote duniani ndiyo huyu hapa

Mtoto: Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.

Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akulaze mahali pema peponi Mwanangu…..

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Cha kufanya ukikaa kwenye siti moja na mdada akakutabasamia

UKIKAA-NA-MDADA.jpg

KICHEKESHO: Angalia hawa watoto wanachoambiana

IMG-20161023-WA0054.jpg

Tofauti ya wageni wa zamani na wageni wa sasa

wageni-wa-sasa.jpg

Kama una mpenzi zaidi ya mmoja soma hapa

IMG-20160124-WA0033.jpg

Mambo yanayoweza kukupata ukubwani kama ulivuka steji ukiwa mtoto

mtu-mzima-na-gari.jpg

Cheki huyu mwanamke alivyojibiwa na huyu mwanaume

IMG-20160406-WA0008.jpg

.

page 1 of 37934123...3793337934next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasaV.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
PONGEZI-MPENZI-24498UA8.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Picha Kali Za Kuchekesha

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.