VICHEKESHO-VYA-WIKIENDI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu

Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kilichotokea Leo mahakamani

Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..
Order! Order…
Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu …
Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..
i think wananiandalia chapati
😀😁😀😁😀😁😀😁😂

😂😂 😂 😂😂


V.gif Mtuhumiwa kazua mpya mahakamani, angalia alivyomuweza hakimu na kushinda kesi

HAKIMU: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
HAKIMU: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!.

MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe pia kwa kosa la kubaka.

HAKIMU: Kumbe ulibaka pia!!?

MTUHUMIWA: Hapana, sijabaka ila hapa ninacho kifaa cha kubakia.

HAKIMU: kipo wapi ?

MTUHUMIWA: hiki hapa. Jamaa kafungua zipu na kumuonesha Hakimu nyeti zake.

HAKIMU: UKO HURU

😂😂 😂 😂😂


Haya mbona kama majanga mengine? ushaona hii?

IMG-20160225-WA0004.jpg

Duu! Hawa wananyoa nywele kwa kisu, ulishawah ona?

kjh.jpg

La kweli hili kuhusu watu wanaokuuliza kuhusu familia yako?

sio-wote-wanaouliza-watoto-hawajambo.jpg

Wanaume wa Dar ni shida, duh majanga! wacheki hapa

IMG-20160225-WA0009.jpg

Angalia nilichomjibu huyu mtu baada ya kutaka kujua group lake la damu

aende-settings.jpg

Angalia huyu mtoto alichomjibu baba yake, Ungekua wewe ndio huyu baba ungefanyaje?

IMG-20160227-WA0009.jpg

.

page 1 of 28326123...2832528326next »

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

tafuta-ndugu.gif
wadogo.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.