VICHEKESHO-VYA-WANAWAKE-NA-WANAUME

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?

Google alisema : mimi nina kila kitu

Facebook ikasema : mimi najua watu wote

Whatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyi

Internet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu !

umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe😂😂😂😂😂

😂😂 😂 😂😂


V.gif Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Bangi si mchezo!

Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!

Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!

then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!

Binti: Hallow mpenzi, Mambo

Jamaa: Poa baby

Binti:Uko wapi?

Jamaa: Niko town napata lunch

Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi

Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?

Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.

Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.

Binti: Kwanini dear?

Jamaa: Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli!

😂😂 😂 😂😂


Ungekua ni wewe hapa ungefanyaje?

IMG-20160319-WA0008.jpg

Eti hili ni la kweli kuhusu mapenzi?

fb-3-600x450.jpg

Cheki huyu mwanafunzi anachojibu, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

aina-za-misimu.jpg

Angalia huyu jamaa alivyo na mdomo mkubwa, Anaweza kumeza mtu

domo.jpg

Angalia alichokisema huyu mlevi baada ya kubatizwa

IMG-20160227-WA0014.jpg

Huyu kazidi! Cheki huu mgongo sasa

1620885_468318843294729_832708695_n.jpg

.

page 1 of 27019123...2701827019next »

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG
UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.