VICHEKESHO-VYA-MSIMU-HUU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheki kilichonipata sasa, ungekua wewe ungefanyaje?

Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali baraa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu.

Ebwana si akatoa simu hiyo inauzwa laki sita mimi hapa nina kisimu cha tochi tena nimefunga na rababendi
Je, wewe ungeendelea kumtajia namba zako!!!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Hii sasa ni kali

*Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi*๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Duh. mjamzito ana kazi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Lilishawahi kukukuta hili na wewe? Kumbe vilaza tupo wengi

IMG-20160505-WA0013.jpg

MAAJABU: Jogoo mwenye sura ya mbwa

1606872_1385792035041219_1821223820863020508_a.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Ukisikia tetemeko la mguu ndio hili hapa sasa

indexoii.jpg

Majibu mengine ni tabu kwelikweli, angalia huyu anachojibu

IMG-20160420-WA0008.jpg

Huyu ndiyo fundi wa admini

fundi-mtoto.jpg

.

page 1 of 38506123...3850538506next »

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
UJUMBE-UNAVYOMMISI-NDUGU.JPG
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.