VICHEKESHO-VYA-KUTUMIA-WATU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Njeri: Roysambu ni ngapi?
Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.

Odhis: Hii gari haina watu bana.
Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ng’ombe?

Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.
Makanga: Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka.

Mwikali: Excuse me conda…gari za Mwingi zinapandiwa wapi?
Makanga: Ziliacha kupandwa juu hazimei.

Man: Kwani mwisho wa gari ni wapi?
Makanga: Mwisho ni hapo penye number plate iko.

Karis: Ruaka ni how much?
Makanga: Sijaskia Ruaka ikiuzwa. But nikiskia nitakwambia.

Passenger: Shukisha dere.
Makanga: Tukishukisha dere utaendesha gari?

Johnny: Maze, hii gari iko na joto sana.
Makanga: Basi shuka upande fridge

😂😂 😂 😂😂


V.gif Cheki huyu mtoto anachosema

_*sijui hili toto langu nilipeleke wapi, Leo limetoka shule eti nikaliuliza BIBILIA kwa kingereza inaitwaje likaniambia*_ *GRANDMOTHER CRY*😠😠😠 _*sijui nikabadilishane na kijiko cha chumvi*_ 🤔🤔🤔

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kilichotokea wakati mchungaji akifungisha ndoa ya Mashoga

Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME"

atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"

😂😂 😂 😂😂


Hii ndio hatari ya kuwa na msichana aliyeacha shule

aliyeacha-shula.jpg

Ujumbe kwa wakina dada

IMG-20160323-WA0010.jpg

Je hili nalo ni la kweli kuhusu kuoa mke mzuri?

IMG-20161023-WA0075.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

Pale mnapovuta bangi na mshikaji wako siku ya kwanza

toroli.jpg

Umeshawahi kuona hili

IMG-20160510-WA0000.jpg

.

page 1 of 26738123...2673726738next »

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-TUKUTANE-MZAZI.JPG
ndugu.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.