VICHEKESHO-VYA-KUSHANGAZA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Kichekesho cha mtalii na mbongo

Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!

Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO," Mtalii akamwambia "nothing you know under the sun? You are useless, and u'll die with your illiteracy!" baada ya muda boti ikaanza kuzama, kijana akamwambia mtalii "Do you know kuogelealogy and kusepalogy from mambalogy? Mtalii akajibu huku ametoa macho "No" kijana akamwambia "You will kufalogy and mambalogy wil eat your matakology because of your bad-mdomology..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Hii michezo mingine imezidi sasa, Angalia mazoezi ya kunya, hapa mshindi ni nani?

pooping-gymnastics-smiley-emoticon.gif

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao

Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.

Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,

Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…

Duh… makonda noma…!!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Haya ndiyo matatizo ya mwanamke kuolewa na mume mwaminifu

mme-mwaminifu.jpg

Pale meseji ya mchepuko inapoenda kwa mke

zuia-meseji.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

MAAJABU: Jogoo mwenye sura ya mbwa

1606872_1385792035041219_1821223820863020508_a.jpg

Cheki sababu ya huyu jamaa kutokupenda mchezo wa mieleka

IMG-20160507-WA0001.jpg

Huyu kazidi! Cheki huu mgongo sasa

1620885_468318843294729_832708695_n.jpg

.

page 1 of 38627123...3862638627next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkeweV.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
ndugu.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.