VICHEKESHO-VYA-KUADISIA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe?

DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.

BABA: Kwanini unasema hivyo?

DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.

ungekua wewe ungemjibu nini

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

SIFA MBAYA…
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.
JAMAA;wife Mara hii umenimiss jaman
WIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya

Et

Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndani…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.πŸ˜‰

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Ujumbe kwa wakina dada

IMG-20160323-WA0010.jpg

Huu wivu wa huyu baba umezidi sasa, angalia anachokifanya sasa

baba-noma.jpg

Ajabu la 8 la dunia, Dunia hii ina mambo sana jamani

IMG-20151217-WA0005.jpg

Ulishawahi kuona viatu vinashonwa na compyuta? hawa jamaa bwana

IMG-20160406-WA0015.jpg

Nyoka wa ajabu mwenye vichwa viwili

IMG-20160411-WA0009.jpg

Ukisikia tetemeko la mguu ndio hili hapa sasa

indexoii.jpg

.

page 1 of 38475123...3847438475next »

afya-mapishi-na-lishe.png

.

afya-mapishi-na-lishe.png
SALAMU-USIKU-23ND.JPG
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.